HOSPITALI YA KUMBUKUMBU YA MWL NYERERE YAANZA KAZI


 "Hatimaye ujenzi wa hospitali ya kumbukumbu ya mwl. J.K Nyerere kufika tamati"

Yapata miaka 40 Tangu ujenzi wa hospitali ya kumbukumbu ya Mwl.Nyerere kuanza na kukamilika 2020 chini ya uonhozi wa Dkt John Pombe Magufuri,wakazi wa wa mkoa wa Mara wamesifia hatua hiyo kufuatia kuwa rahisishia huduma za Afya mkoani Humo 

"Imepita miakamingi sana Tangu ujenzi huu kuanza hadi leo kukamilika" ni maneno ya baadhi ya wakazi wa mkuoa wa mara wakisifia ujenzi huo

Post a Comment